Posts

Showing posts with the label broccoli Juisi na chakula

Broccoli -Faida ya Juisi Yake

Image
Faida za Juisi ya Broccoli Lishe ndani ya Broccoli -potassium -magnesium -iron -calcium -vitamin C -vitamin K -Folate -Protein -Nyuzinyuzi FAIDA YAKE MWILINI -Kuongeza Seli nyekundu za damu Juisi ya Broccoli Ina wingi wa Madini ya chuma ambayo huchochea sana kuzaliwa Kwa Seli nyekundu za damu, -Kuongeza uwezo wa ubongo Ikiwa una sahausahau,au udhaifu Katika uwezo wa kiakili(cognitive function) basi broccoli ni chaguo sahihi kwako kuamsha mishipa ya fahamu inayolala na Seli zake. -Kuzuia kansa Matumizi ya Juisi ya Broccoli KILA siku huweza kuzuia kansa. Japokuwa sio kikamilifu kabisa,lakin watafiti hueleza uwezekano wake kuzuia kutokana na wingi wa Visafisha sumu. –Kuziba damu panapovuja na kutibu vidonda Ukipendelea kutumia Juisi hii,itakusaidia kutibu vidonda haraka na kufunga kuvuja Kwa damu endapo itatokea shida ya kuvuja kutokana na kuumia Kwa sababu ya wingi wa vitamin K ndani ya Broccoli. -afya ya mifupa na meno Kutokana na wingi wa calcium ambayo unazidi hata iliyo ndani ya mazi...