Broccoli -Faida ya Juisi Yake

Faida za Juisi ya Broccoli

Lishe ndani ya Broccoli

-potassium
-magnesium
-iron
-calcium
-vitamin C
-vitamin K
-Folate
-Protein
-Nyuzinyuzi

FAIDA YAKE MWILINI

-Kuongeza Seli nyekundu za damu

Juisi ya Broccoli Ina wingi wa Madini ya chuma ambayo huchochea sana kuzaliwa Kwa Seli nyekundu za damu,

-Kuongeza uwezo wa ubongo

Ikiwa una sahausahau,au udhaifu Katika uwezo wa kiakili(cognitive function) basi broccoli ni chaguo sahihi kwako kuamsha mishipa ya fahamu inayolala na Seli zake.

-Kuzuia kansa

Matumizi ya Juisi ya Broccoli KILA siku huweza kuzuia kansa.
Japokuwa sio kikamilifu kabisa,lakin watafiti hueleza uwezekano wake kuzuia kutokana na wingi wa Visafisha sumu.

–Kuziba damu panapovuja na kutibu vidonda

Ukipendelea kutumia Juisi hii,itakusaidia kutibu vidonda haraka na kufunga kuvuja Kwa damu endapo itatokea shida ya kuvuja kutokana na kuumia Kwa sababu ya wingi wa vitamin K ndani ya Broccoli.

-afya ya mifupa na meno

Kutokana na wingi wa calcium ambayo unazidi hata iliyo ndani ya maziwa ya ng’ombe , broccoli huimarisha mifupa na kuzuia matatizo ya mifupa,Pia huimarisha meno na kuzuia kuanguka hivyo.

-kuongeza ulinzi wa Seli za mwili

-kuongeza uwezo wa KUONA
broccoli Ina wingi wa lishe muhimu zinazosafisha macho na kulinda Seli za macho hivyo utaona Kwa usahihi na hutakuwa na matatizo ya macho,Inafaa Kwa wanaochati sana na pia huzuia mionzi ya jua na mwanga mkali.


Kwa msaada KUHUSU lishe ya ZIADA Kwa afya yako,na lishe za kutibu matatizo mbalimbali wasiliana na Laurian 0655858027 mwambie umepata mawasiliano toka AfyaRaha, 

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya Kula Kitimoto

Faida ya Kula Jam

Faida za kula bagia