Faida ya Kula Kitimoto

Faida ya Kula Kitoweo Nguruwe(Kitimoto)

1.Ina protini ya kutosha inayotengeneza misuli na kujaza wingi wa Misuli pia huhitajuka mwilini mwa Watoto kukua Kwa mifupa
2.Ni chanzo Cha Madini zinki, selenium,vitamin B12, vitamin B6,lishe ambazo hukufanya usiugue mara Kwa mara.

3.Niancin na Riboflavin pia huondoa uchovu mwilini

4.Kuna tafiti huongeza kuwa ni nyama inayoondoa taka mwili zisizotakiwa,Yaan mafuta yake ni dawa ya kusafisha baadhi ya aina Fulani za sumu,Kwa sababu inaonekana ni miongozi mwa kiumbe ambaye anaweza kukunzana na sumu ya nyoka,Sumu ya nyoka Haina Madhara Kwa Nguruwe mara nyingi,



Kuandaa ni kama supu,Kuoka Katika oven,Kuchoma au Roast,Pizza ya Nguruwe, Baga ya Nguruwe au soseji yake.

Kupata Lishe ya ZIADA Kwa afya yako wasiliana na Laurian 0655858027 au promota927@gmail.com au drwenwu2@gmail.com , Mwambie Mawasiliano Toka kwa AfyaRaha

Tafuta Facebook AfyaRaha Tanzania

Comments

Popular posts from this blog

Faida za kula bagia

Faida ya Kula Jam