Faida ya Kula Jam

Faida ya Kutumia Jam

Jam nyingi hutengenezwa Kwa matunda mbalimbali.

FAIDA zake

-kuongeza kumbukumbu
-kuweka sawa Sukari mwilini
-kuthibiti Uzito na unene sahihi kulingana na mwili wa mtu
-kufungua choo
-Kulinda mishipa ya moyo
-kulinda mfumo wa kusaga chakula
-Kunawirisha ngozi na nywele
-Kusaidia kuamsha uwezo wa Kinga ya mwili
-ina nyuzinyuzi(fiber) zinazoufaa ukuta wa tumbo usidhurike
-ina Visafisha taka-mwili(uchafu utokanao na utendaji kazi wa Mwili)

-hupunguza mafuta MABAYa
-kuondoa uchovu

-Madini na vitamin

-kuongeza hamu ya chakula Katika mko,na kufanya chakula kivutie kula.
HUTUMIWA kula mkate biscuit, cocktail,pizza,Baga,keki na vinginevyo kutokana na upenzi wa mtu

VIDEO HII CHINI 👇 ikionesha,watumishi wa NASA Anga za juu Na Katika Moja ya Mlo wao Ipo pia Fruit Jam.Wakiwamo na wanawake wengine umri umezidi miaka 50.



Sin(Mavumbuzi) must be committed by All.



Kupata Lishe ya ZIADA Kwa afya yako wasiliana na Laurian 0655858027 au promota927@gmail.com au drwenwu2@gmail.com , Mwambie Mawasiliano Toka kwa AfyaRaha

Comments

Popular posts from this blog

Faida za kula bagia

Faida ya Kula Kitimoto