Faida za kula bagia
Faida Za Kula bagia(Andazi la dengu/lentils Andashi)             Kila kiumbe kitazeeka,lakini haimaanishi usitumie lishe mbalimbali kuendekea kuwa na Afya njema. Dengu au Aina maharage,hupatikana Kwa wingi karibu kila eneo DUNIAni,Kuanzia Bara la Mtu Mweusi-AfroNationa/Africa, America Kaskazini, America Kusini,Ulaya,Russia/ardhi ya mihama ya kirusi(land of Russia date palm trees Hadi Australia/ardhi ya Kondoo. Dengu njano au rangi inginezo ni zao linalopatikana Kwa kulimwa,Lina lishe hizi mwilini  -madini Chuma -protini -potasium -nyuzinyuzi(fiber) -seleniam -folate -Nguvu -Wanga -mafuta -calcium kidogo Dengu njano,huandaliwa kama lishe Bagia,Kisindikizi chakula(Mboga) na Mkate Kwa baadhi ya Maeneo Katika Sayari DUNIA,Leo Tutaongelea faida ya Kula Bagia.             Ukipenda kukaa alipo mtaalam wa KUANDAA pishi Bagia huweka  unga wa dengu laini,hamira,chumvi,kitunguu Maji,Mchicha kidogo au spinach na Kiongeza harufu,Wengine huweka na unga wa Ngano kidogo na hulainishwa Kwa Maj...