Mlo WA kujenga mwili Kwa kila mtu
Tunavyo vyakula aina nyingi Katika jamii yetu,lakini wengine husema vizuri ULE KILIWACHO MAANA vyote vishavumbuliwa NI SAHIHI.
Lakini Iko namna ya utofauti wa utumiaji wa Mlo utakaoinua afya haraka zaidi na kurejesha lishe iwe Katika utimamu wake Vizuri,na Kwa Mfululizo wa muda Fulani.
Katika Makala ihisuyo Faida za kula Jam,ilijaribu kuonyesha maisha ya wanaanga Katika satellite iliyoko Katika ORBIT YA DUNIA na aina ya vyakula Huwa navyo ili kujenga afya na kulinda mwili,Lakini bado kukutana na wazoefu mbalimbali wa masuala ya Lishe wameshauri na kupendekeza Aina Fulani ya Mlo ambao umetisaidia wengi Kwa Mwili na Akili kama ilivyofupishwa Hapa CHINI👇
MAHITAJI YA MUHIMU 
-Mkate Au Unga wa Ngano Usiokobolewa(Uoke Mkate Mwenyewe(
-Matunda Kuongeza Vitamini
-Mboga Za Madini Chuma(Spinach, Broccoli,Kabeji)
-Samaki/Nyama Kuku/Nyama Ng'ombe/Nyama Nguruwe/Nyama Aina utumiaji Kwa mazingira Yako au SOSEJI
-Maziwa
KUANDAA
-Oka Mkate au Aina ya Bofu ya Ngano upendayo(andashi,Donati au BagaStyle)
-Oka Nyama,Samaki au Soseji(samaki aliyeokwa au Nyama Huwa na lishe zaidi ya ile ilopikwa zaidi Kwa muda mrefu)
There is difference between Baking and Cooking for Long While.
-Pasha mboga kidogo sana(Kabeji, broccoli au spinach) unaweza andaa Katika namna upendayo (Kuunga upate ladha)
NB, Wengine hawapendelei mboga watatumia Matunda Tu
-Andaa Matunda
-Andaa Maziwa(au tumia yaliyosindikwa kiwandani)
RATIBA SAHIHI YA MLO WAKO ILI UWE NA AFYA AU MTOTO AKUE VIZURI
Asubuhi Saa 12 Hadi Saa 2(Nguvu Uendapo Katika Mizunguko)
-Mkate
-Samaki/Nyama/Soseji
-Matunda 
-Maziwa
-Mboga
Mchana Saa 6 Hadi Saa 8(Kurejesha Lishe ilopungua)
-Mkate
-Samaki/Nyama/Soseji
-Matunda 
-Maziwa
-Mboga
Jioni Saa 11 Hadi Saa 12(kulinda Mwili)
-Mkate
-Samaki/Nyama/Soseji
-Matunda 
-Maziwa
-Mboga
Usiku Saa 2 Hadi Saa 4 usiku(Kupumzisha Mwili)
-Mkate
-Samaki/Nyama/Soseji
-Matunda 
-Maziwa
-Mboga
Katikati Ya Usiku,Saa 6 Hadi Saa 8(Kukuza Mwili na Kusafisha Taka Mwili)
Milo Mitano(5 meals)
Fanya hivyo Mfululizo ili kile chakula kikae Katika Viungo,Misuli Ubongo ,Mifupa,Seli zote za Mwili Na Tishu
Jipe Muda Mrefu,Inashauriwa Ujipe Mpango wa Kula hivyo Japo Miaka Mia Moja,Miaka 100 kulingana na Watu wa Kale wazoefu wa Ukuaji timamu wa Afya ya Mwanadamu wao waliamini Mtoto hunyonya miaka 100,miaka Mia Moja, yaani usiruhusu Seli ikose lishe.
Zingatia Mwanzo pekee ndio hukatisha wengi Tamaa.
Mlo huu unaweza tumiwa na Watu wa Mabara yote, Africa,Amerego Kusini,Amerego Kaskazini, Australia,Asia na Ulaya na Watu Wote ukawafaa na Wakawa na Afya njema,Karibu Leo na hutojutia,
Kupata Lishe ya ZIADA Kwa afya yako wasiliana na Laurian 0655858027 au promota927@gmail.com au afyaraha@gmail.com
Comments
Post a Comment