KIRUTUBISHI CHITOSAN
CHITOSAN hutokana na Unga unaopatikana kwa kusaga magamba ya kaa.
FAIDA ZAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU
- Kupunguza mafuta katika damu.
- Kupunguza sukari katika damu.
- Kuimarisha ufanyaji kazi wa ini.
- Kuondoa maumivu ya mgongo.
- Kupunguza usingizi.
- Kusaidia kuondoa uchafu tumboni.
- Kuondoa sumu katika damu.
- Kupunguza kuzeeka kwa mwili.
- Kusadia uponyaji wa magonjwa.
- Kuongeza kinga za mwili.
- Kupunguza unene wa mwili.
Kupata Lishe ya CHITOSAN au lishe zaidi ya afya yako wasiliana na Laurian 0655858027 au promota927@gmail.com au afyaraha@gmail.com , Mawasiliano Toka AfyaRaha
NB,Tumia vidonge Vinne Usiku kabla ya kulala,Enjoy
Comments
Post a Comment